Proverbs 29:15-17


15 aFimbo ya maonyo hutia hekima,
bali mtoto aliyeachiwa bila maonyo
humwaibisha mama yake.


16 bWakati waovu wanapostawi,
pia dhambi vivyo hivyo,
lakini wenye haki wataliona anguko lao.


17 cMrudi mwanao, naye atakupa amani,
atakufurahisha nafsi yako.

Copyright information for SwhKC